Moja ya taarifa zilizosambaa kwenye
mitandao ya kijamii jana jioni ya February 7 2017 ni kuhusu Polisi Dodoma
kumtafuta kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mbunge wa
Kigoma mjini Zitto Kabwe ili wamkamate.
Kamanda wa Polisi Dodoma Lazaro Mambosasa amesema yafuatayo >>> “Hiyo taarifa yeye mwenyewe ndio anajitangazaia akamatwe lakini sisi hatumkamati kwasababu hatuna ishu nae”
“Unajua watu wanafikia mahali wanatafuta umaarufu wakamatwe ili wapige mayowe… hatuna mpango wowote wa kumkamata kwasababu hajatenda kosa la jinai” – Kamanda Mambosasa
Kumsikiliza zaidi Kamanda Mambosasa alichozungumza bonyeza play hapa chini

0 comments:
Post a Comment