Baada ya Rais Dkt John Pombe Magufuli Alhamisi hii kufanya mabadiliko
kwenye baraza la mawaziri kwa kumpiga chini aliyekuwa Waziri wa Waziri
wa Habari , Utamaduni , Sanaa na Michezo, Mh Nape Nnauye na nafasi yake
kuchukuliwa na Dkt. Harrison Mwakyembe, Nape amewataka wananchi kutulia.
Nape ambaye alikuwa mstari wa mbele katika tukio la hivi karibuni la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuvamia kituo cha Clouds FM, amesema baadaye atazungumza na waandishi wa habari kuhusu kipigwa kwake chini.
Taarifa hiyo ameitoa kupitia kwenye kurasa yake ya twitter na ujumbu ulisomeka hivi,

0 comments:
Post a Comment