July 22 2016 ripoti zilianza kusambaa
kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa vichekesho nchini
zikionyesha taarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu
nchini Tanzania, Ismail Issa Makombe ‘Baba Kundambanda’ kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show. Taarifa za awali zinadai kuwa amefariki akiwa nyumbani kwao Masasi, Mtwara
0 comments:
Post a Comment