Usiku wa July 17 2016 wadhamini wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kwa kushirikiana na TFF wametoa tuzo za Ligi Kuu kwa wachezaji, kocha, refa na timu, miongoni mwa tuzo zilizotolewa ni tuzo ya goli bora ambayo Ibrahim Ajib wa Simba aliibuka mshindi dhidi ya Tambwe na kuchukua zawadi Tsh Milioni 3 kutoka Vodacom.
Tizama hapa goli kali alilofunga uwanja wa Taifa dhidi ya Mgambo JKT ya Tanga Mnamo Trh 3/2/2016
SOURCE Millardayo.com

0 comments:
Post a Comment