KUKUA KWA TEKNOLOJIA KUMEWEZESHA KAZI ZA WASANII KUONEKANA KWA URAHISI NDANI YA MUDA MFUPI KOTE ULIMWENGUNI.SIKU HIZI WATU WENGI WANAMILIKI SMARTPHONE HIVYO KWA WADAU WA MUZIKI HUINGIA KWENYE MTANDAO WA YOUTUBE MARA TU VIDEO ZA MUZIKI ZINAPOACHIWA.
ZIFUATAZO NI VIDEO 10 ZA WASANII WA TANZANIA ZILIZOANGALIWA MARA NYINGI TOKEA ZILIPOWEKWA KWENYE MTANDAO WA YOUTUBE.
- Nana - Diamond Platnumz ft Mr.Flavour : Views milioni 7.9 ndani ya miezi 6.
- Nasema nawe - Diamond Platnumz :Views milioni 5.9 ndani ya miezi 8.
- Nitakupwelepweta - Yamoto Band : Views milioni 2.6 ndani ya miezi 11
- Chekecha Cheketua - Ally Kiba : Views 2,045,412 ndani ya miezi 5.
- Utanipenda - Diamond Platnumz : Views milioni 1.1 kwa wiki 2 (Yenye English subtitle)
- Looking for you - Jux ft Joh Makini : Views 503,523 ndani ya miezi 4
- Nagharamia - Ally Kiba & Christian Bella 342,218 ndani ya wiki 1
- Nusunusu - Joh Makini : Views 405,610 ndani ya miezi 8
- Aiyola - Harmonize : Views 484,932 ndani ya miezi 2
- Sophia - Benpol : Views 444,569 ndani ya miezi 8

0 comments:
Post a Comment